Li ngunda ngali
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 707
- 2,572
Nipo kwenye gym moja maarufu sana hapa karibu na Ubalozi wa Vatican lakini kwa masikio yangu nimemsikia mmoja wa wana kundi wa friends of Simba akimtuhumu mwenzao aliyepo karibu na Mudi kwa kuwa (nokolea).
" ....Chairman anaenda kuiharibu Klabu kwa kupenda sifa za hovyo kwa bwana mkubwa."
".....Alimdanganya bwana mkubwa mimi na wenzangu tuliokuwa kwenye baraza la utendaji ndiwo tuna tumia pesa isivyo paswa hasa tuliokuwa tunahangaikia kutafuta wachezaji wa nje."
".....Kamchongea yule binti hadi akaamua a resign. Ajabu hawataki kumlipa stahiki zake kwa kisingizio cha ukata!"
"..... Kaamua aweke member anaoweza kuwapelekesha ili yake yaweze kwenda jambo ambalo si sawa sawa hata kidogo."
"....Cres alipoona uelekeo siyo mara moja aliamua awe kando na ndiyo maana huoni akijishughulisha na lolote lihusulo Klabu."
"....Ila nakuhakikishia hatoboi kwa u mimi wake anaoufanya. Na siku bwana mkubwa akimshitukia hakika na kwambia atamfukuza kama mbwa!"
Chanzo mimi mwenyewe kwa masikio yangu.
Hii ilikuwa 30 May na Barbara ali coment alikubaliana naye kwa 100%
Chini hapo ni Barbara akirejea ujumbe fanani na huo hapo juu wa aliyekuwa mjumbe wa board.