Elections 2010 Friends of Slaa FOS mnatuangusha

Elections 2010 Friends of Slaa FOS mnatuangusha

Luteni

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2010
Posts
2,274
Reaction score
302
Nilitegemea blog ya Friends of Slaa FOS iwe source of informations, News and pictures kwenye mikutano ya Slaa lakini sioni updates zozote zikiwekwa tofauti na blog ya Michuzi inayoweka habari za kampeni ya Kikwete mara tu baada ya mkutano (mf. Kyela).

Leo Dr. Slaa anafanya mikutano yake mjini Dodoma lakini sijaona hata picha moja kwenye blog ya FOS zaidi ya picha za ufunguzi wa kampeni Jangwani na post ya Mtei 'Majukumu Makuu ya Chadema' ambayo hata hivyo waliipata kutoka JF. Au tuseme mlikuwa hamjajiandaa.

FOS wakati ndio huu kama mnasubiri wakati mwingine mtastukia mwana si wenu, wakeup.

Friends of Slaa | FOS |

MICHUZI
 
Mimi nawaona ni mapandikizi tu kwani hata huyo mratibu Selemani Rehani ni shemeji yake Mizengo Pinda
 
Back
Top Bottom