View attachment 293638
Mkazi wa Tabata Aisha Ngonyani akiifurahia zawadi yake ya fulana aliyokabidhiwa na Mwakilishi wa Kampuni ya bia ya Serengeti (Kulia) Josephat Lukindo wakati wa promosheni hiyo katika baa ya Friends iliyopo Segerea jijini Dar es salaam. Baa hiyo iliibuka baa ya wiki kwenye promosheni hiyo inayoendeshwa na bia ya Tusker yenye lengo la kuzihamasisha baa mbalimbali za mitaa inayotuzunguka kufanya kweli kwenye utoaji huduma kwa wateja. Promosheni hiyo ya nchi nzima inaendelea pia katika mikoa ya Arusha, Mwanza, Moshi, Morogoro na Mbeya. (Kushoto) ni Mshereheshaji wa Promosheni hiyo Gadner Habash.
View attachment 293642
Mkazi wa Segerea na mteja wa bia ya Tusker Bw. Nelson Ruta akipokea zawadi yake ya fulana toka kwa mwakilishi wa Kampuni ya bia ya Serengeti Josephat Lukindo (kulia) katika hafla ya kuipongeza baa ya Friends ya Segerea jijini Dar es salaam ambayo ilitangazwa kuwa baa ya wiki kwenye kampeni inayoendelea ya Tusker Fanyakweli Kiwanjani ambayo inaendeshwa kwa udhamini wa bia ya Tusker kutoka Kampuni ya bia ya Serengeti.
View attachment 293643
Balozi wa bia ya Tusker Veronica Mbilinyi (kushoto) akikabidhi zawadi ya fulana kwa mpenzi wa bia ya Tusker aliyefahamika kwa jina la Emmy Machupa (29) (katikati) wakati wa hafla ya kuipongeza baa ya Friends iliyopo Segerea jijini Dar es salaam ambayo iliibuka baa ya wiki kwenye promosheni ya Tusker Fanyakweli Kiwanjani inayoendeshwa na bia ya Tusker kutoka Kampuni ya bia ya Serengeti. (kulia) ni Mshereheshaji wa promosheni hiyo na Mtangazaji wa kipindi cha Ubaoni redio E-fm, Gadner Habash.
View attachment 293644
Mkazi wa Vingunguti-Darajani akiifurahia zawadi yake ya fulana kutoka kwa Msimamizi wa mauzo ya Kampuni ya bia ya Serengeti kanda ya Chanika Tesha Stanslaus (Kulia) wakati wa kuipongeza baa ya Check Point iliyopo Chanika jijini Dar es salaam baada ya baa hiyo kuibuka mshindi wa wiki kwa mara ya pili kwenye Kampeni inayoendelea ya Tusker Fanyakweli kiwanjani. (Kushoto) ni Mshereheshaji wa promosheni ya Tusker Fanyakweli Kiwanjani Gadner Habash.