Friends with benefits

sasa unataka ushauri gani sasa?
 
Atakuwa na yeye kakupenda embu mchunie kidogo uone kama hatakonda huyo
no friend with benefit in africa my friend, kwa malezi tuliyokulia sio rahisi
 
Jitahidi naye akupende sana ili mwisho muwe pamoja, au ng'atuka!
 
Kwanza kabisa mie naamini hakuna mambo ya friends with benefit..... Once you sleep with a person mambo mengi hubadilika saana hasa kimatendo, siamini kua everything kiko kama ilivokua kabla hamjaanza hizo benifits. Huyo anaqualify kuitwa tu "**** buddy" for yupo available for all the booty calls. Ila tu mpaka umeileta hapa it means inakuumiza... Kwamba you have feelings for her. Amabayo ni very ironic for kwa wanaume wengi wangeridhika na hio hali hata daima. Inabidi wewe mwenyewe utafakari kama umeridhia kuendelea na hio ya friends kama hujaridhia it is better uachie ngazi for utaumia saana mwishowe - for kumbuka mwanamke kama kaweza lala nawee for more than 8 months na bado hana feelings juu yako ni dhahiri anakutumia kabisa, ingawa waweza ona kama wee ndo wafaidi...
 
Mkuu, si kweli kuwa ana mtu wake ninachokiona hapo ni kuwa huyo
Mwanamke hana mtu isipokuwa WEWE SI CHAGUO LAKE yaani ni
kama simba anayekula nyasi baada ya kukosa nyama. Akishapata
dizaini anayohitaji........................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…