uttoh2002 JF-Expert Member Joined Feb 3, 2012 Posts 17,060 Reaction score 32,400 Dec 18, 2021 #21 Kanungila Karim said: [emoji1787][emoji1787][emoji1787]wee jamaa kama hauna hela nyamaza Click to expand... Mimi Na wandaNi wangu, haikuhusu
Kanungila Karim said: [emoji1787][emoji1787][emoji1787]wee jamaa kama hauna hela nyamaza Click to expand... Mimi Na wandaNi wangu, haikuhusu
financial services JF-Expert Member Joined May 17, 2017 Posts 17,776 Reaction score 42,402 Dec 18, 2021 #22 uttoh2002 said: Mh, uwezo wangu ndo huu baby, naomba kule twende Christmas, Leo tutafute pa Kawaida! Eti baby, vaa lile gauni jekundu linakupendeza; umenielewa baby wangu? Click to expand... Sawa baby usijali ntaagiza maji tu😂 tafuta hela siyo unalia lia akitokea mwingine si utaachwa wewe🏃♀️
uttoh2002 said: Mh, uwezo wangu ndo huu baby, naomba kule twende Christmas, Leo tutafute pa Kawaida! Eti baby, vaa lile gauni jekundu linakupendeza; umenielewa baby wangu? Click to expand... Sawa baby usijali ntaagiza maji tu😂 tafuta hela siyo unalia lia akitokea mwingine si utaachwa wewe🏃♀️
uttoh2002 JF-Expert Member Joined Feb 3, 2012 Posts 17,060 Reaction score 32,400 Dec 19, 2021 #23 financial services said: Sawa baby usijali ntaagiza maji tu😂 tafuta hela siyo unalia lia akitokea mwingine si utaachwa wewe🏃♀️ Click to expand... Unaharibu baby, misingi ya mapenzi yetu imejengeka Kwenye uhalisia Na sio vitu! Ingawa ninapambana Na vitu pia baby wangu nitapata, nipe Mda, pesa yatafutwa, nitapata.
financial services said: Sawa baby usijali ntaagiza maji tu😂 tafuta hela siyo unalia lia akitokea mwingine si utaachwa wewe🏃♀️ Click to expand... Unaharibu baby, misingi ya mapenzi yetu imejengeka Kwenye uhalisia Na sio vitu! Ingawa ninapambana Na vitu pia baby wangu nitapata, nipe Mda, pesa yatafutwa, nitapata.