Friji inaweza kuwa chanzo cha mapato kwa mke nyumbani?

Ndera

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2013
Posts
653
Reaction score
548
Wakuu, nimejibana nimepata shilingi 1million mke wangu amenishauri nimemnunulie friji kuanzia laki 5-8 pesa itakayo baki laki 2 afanye kama mtaji wa kuuza barafu, Ice cream na juice. Naomba ushauri wenu je hii biashara inaweza inaweza zaa matunda na kurudisha hiyo pesa? Natanguliza shukrani.
 
Ni nzuri kwa biashara ya icecream endapo mlipo pana mkusanyiko wa watu hasa wanafunzi
Mf karibu na shule haswa za msingi

Anaweza tengeza juice za matunda mbalimbali akauza

Pia anaweza gandisha barafu akauza kwa wale wauza maji na juice barabarani(stendi)

Hakuna biashara isiyo na hasara kama ataangalia soko ndipo aanze faida ipo tena sana
Inategemea mlipo pana uhitaji wa nini haswaa katika hivyo nilivyoorodhesha,au anaweza Fanya vyote kwa pamoja.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sana tu,tena kama mazingira yanaruhusu atafute kijana awe anamuuzia barafu kwa kuzunguka sehemu mbalimbali mjini kwa kuziweka kwenye deli kubwa akitumia baiskeli,mimi ninafanya hivyo pesa ya kula inapatikana hapo kwa asilimia 90

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa sent za mboga na nauli ya mama mkwe kurudi nyumbani akija kuwasalimia πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hapo unakua huumizi kichwa,ila kama una mfanyakaz wa ndani mzur mzuri hapo wahuni ndo wanapata chance ya kuja kumtongoza ukiwa haupo home wao wanakuja kubembeleza na akiingia king anaweza akaliwa ndani kwako humo humo halaf njemba inachomoka na Barafu huku shat kaweka begani watu wanajua jmaa alienda kununua kumbe😁😁😁
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…