Friji+ jiko, zawadi ya harusi vimeharibika, nataka niiangukie ile kamati kuu tena, naombeni mbinu

Friji+ jiko, zawadi ya harusi vimeharibika, nataka niiangukie ile kamati kuu tena, naombeni mbinu

mbere

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
6,967
Reaction score
6,465
Amna namna wakuu hali imebana sana
Ninawajua wanakamati ninaoishi nao jirani, ofisini n.k wapo kama 50 hivi, ebu naombeni mbinu ya kuwaangukia
 
Anataka kuwaomba wamtengenezee hivyo vitu au wamnunulie vipya[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Jamaa inabidi apambane na hali yake aache kulia lia
 
Back
Top Bottom