INAUZWA Friji milango miwili jipya linauzwa

Friji lina miezi minne tangu ulinunue! Sababu ya kuliuza unataka uhamie kwenye nyumba yako! Hii sababu hukujua kama utahamia kwenye nyumba yako na hivyo hukupaswa ulinunue kwanza? Au unauza baada ya kuliona linakasoro Fulani ndogo? Je inaristi Yake ? Wewe uliinunua bei gani?Haina tatizo? We upo wapi?
 
Limetumika miez minne tu sabb ya kuuza nahitaj kuhamia kwny Banda langu ambalo sijaweka umeme niko DSM..Bei ni sawa na bure sh 300k tu.
NB: bei haipungui.
Kwa anayehtj Karbu PM Ni HOME BASE:

Send from Nokia batani
Bei gani ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…