INAUZWA Friji na kitanda cha chuma vinauzwa chap nipo Dar es salaam

SISIS

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2019
Posts
10,892
Reaction score
3,112
Nahama mkoa nauza chap hivyo kwa mwenye uhitaji

KITANDA CHA CHUMA 5X6 NA CHAGA ZAKE BEI 140,000 TU

FRIJI KALI LA MTUMBA MADE IN SOUTH KOREA BEI NI 180,000 MASHINE YAKE HAIJAWAHI KUGUSWA WALA KUONGEZWA GEZI NDANI YA DK 20 TU BARAFU UTALIONA

NAPATIKANA TEMEKE DAR ES SALAAM

MAWASILIANO 0678096545


 
Kula 60 kitanda ipo apa kwenye mfuko wa shirt
 
Gawa bure kwa wahitaki. Siko kila kitu ni Cha kuuuza.
 
Kuna jamaa amehamia huko na alikuwa anahitaji vitu used. Hebu fanya kuutafuta uzi wake ili myajenge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…