INAUZWA Friji ndogo inauzwa 150,000

astalavista

Senior Member
Joined
Jul 7, 2014
Posts
156
Reaction score
160
SOLD SOLD SOLD

Ni kampuni ya GEC
Imetumika miaka mitatu
Gas ipo
Taa ya ndani inawaka.

Location Mbezi mwisho barabara ya Kinyerezi.

BEI ni 150,000/=

NJOO UIKAGUE THEN TUFANYE BIASHARA.

0687603307



 
Upo mkoa gani niichangamkie kwa bei ya punguzo si unajua hii siyo kipindi cha JK?
 
Upo mkoa gani niichangamkie kwa bei ya punguzo si unajua hii siyo kipindi cha JK?
oooh kumbe upo mbezi mwisho nimeona mkuu, Sawa sasa mimi naomba 120K tufanye biashara
 
Na juu hapo unaweka kitambaa na maua ya mchina yale ya Kariakoo.
Mimi niliishaipenda lakini baada ya Comment yako nimerudisha jeshi lotew nyuma, nimeanagalia vizuri na kuona unachokisema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…