kazuramimba
Senior Member
- Jun 14, 2011
- 145
- 154
Inapatikana wapi?Friji kubwa kabisa used aina ya Samsung yenye milango miwili inauzwa kwa bei nzuri tu ya shilingi laki 450,000/= pia mazungumzo yana ruhusiwa.Friji bado ipo kwenye hali kabisa.Kwa serious buy only pliz call 0654 788778.View attachment 722826View attachment 722827View attachment 722828
Huna FAMILIA?Dah kubwa sana mkuu
Inapatikana hapa Ubungo mkuuInapatikana wapi?
Haikuwa na tatizo mkuu!! Friji ni nzima kabisa na haina tatizo lolote mkuuimekarabatiwa ,sana ndo maana bomba za cooling zinaonekana, ilikuwa na tatizo gani
PoaInapatikana hapa Ubungo mkuu
unataka kununua au nikununulie hahahaaaaaa (jokes)Inapatikana wapi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]unataka kununua au nikununulie hahahaaaaaa (jokes)
Ulinunua mtumba au shop?Wakuu ninatangaza kwa mara nyingine kuwa ninauza Friji kubwa na nzuri kwa matumizi ya familia aina ya Samsung kwa bei nxuri tu ya 400,00/=. For serious buyer only call 0654 788778. View attachment 723701View attachment 723702