Jerry santonga
JF-Expert Member
- Oct 12, 2014
- 645
- 562
Imetumika miezi 4 tu milango miwili ina friza juu ubaridi mkali na friji kwa chini ina nafasi kubwa na pia 0712046405 lipo Dar es salaam kigamboni pia kuna masofa yanauzwa NAHAMA KIKAZI.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imetumika miezi 4 tu milango miwili ina friza juu ubaridi mkali na friji kwa chini ina nafasi kubwa na pia 0767 344 508 pia kuna masofa yanauzwa NAHAMA KIKAZIView attachment 1673579View attachment 1673573
Shukrani nimeyafanyia kaziNadhani ungetaja mkoa ulipo ili kurahisisha biashara yako.
Ni maoni yangu tu....unaweza kuyachukua au ukayapuuza.
Ukiuza friji nipatie hiyo blue band![emoji39]
Shukrani nimeyafanyia kazi
Nauza iki mkuu laki tano.Hakuna kitanda?
Lipobado lipo ?
Kwa bei hio ni pamoja na godoro na shuka mkuu? Izo apo juu ni zahabu??Nauza iki mkuu laki tano.
Katandika Shuka La Waha Wa KigomaKwa bei hio ni pamoja na godoro na shuka mkuu? Izo apo juu ni zahabu??
HahaaaKatandika Shuka La Waha Wa Kigoma
Bila Shaka Unahamia Dodoma, Jiandae Na Maji Upauke
Mkuu nishauza tayariKwa bei hio ni pamoja na godoro na shuka mkuu? Izo apo juu ni zahabu??
No ni kitanda kitupu mkuuKwa bei hio ni pamoja na godoro na shuka mkuu? Izo apo juu ni zahabu??
No ni kitanda kitupu mkuu
Sawa mkuu karibu mm napatikana keko pia nauza furnitures mbalimbali including vitanda.Asante kwa ushirikiano.