Wabongo kwa kupenda vya cheee....! Kama ujasiriamali mpaka upewe friji ya bure? Anyway kikubwa lazima wale jamaa uwe ume-establish urafiki nao......sio rahisi wakupe friji from nowhere. Na kue-establish urafiki nao lazima uwe mteja wa kitambo na position ya kibanda/duka nk unapofanyia biashara liwe strategic ambalo either kuna mauzo mengi au ni sehemu nzuri kwao kutangaza biashara yao.