Wadau, kuna mabadiliko makubwa yanaendelea kwa magereza Kenya na hii si story ya kawaida.
Kupitia State Department for Correctional Services, serikali imeanza kuingiza digital learning ndani ya prisons, ikishirikiana na partners kama Close the Gap. Computers 250 zimesambazwa kwa prisons 13 ili kusaidia inmates kujifunza skills za digital, innovation na hata vocational training.
Hii ina maana gani kwa mwananchi wa kawaida?
Inmates wakipata skills, chances za kurudia uhalifu zinapungua
Wanatoka jela wakiwa job ready, si kurudi mtaa bila direction
Inaongeza usalama kwa jamii na kupunguza crime long-term
Kwa mujibu wa PS Salome Beacco, tafiti zinaonyesha wazi kuwa education + technology ndani ya jela husaidia sana kwa reintegration ya wafungwa wakitoka.
Pia Ida Odinga ameongeza kuwa hii initiative itasaidia kufunga gap ya digital inequality na kuhakikisha hata wale waliokuwa marginalized hawabaki nyuma kwa digital economy.
Kwa ground reality:
Hii si tu about wafungwa ni kuhusu future ya jamii nzima. Kama watu wanareform na kupata kazi, sisi sote tunafaidika.
Lakini swali bado linabaki
Je hizi programs zitafika kwa kila inmate na kuwa consistent, ama zitabaki pilot projects tu?
Na pia, job market iko tayari kupokea ex-offenders?
Source: ynews.digital