from fb to jf!

ulimbo lunopo

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
243
Reaction score
39
heshima kwenu wakubwa kwa wadogo! Nimegundua nilikua napoteza mda wangu mwing kudeal na fb while gaining less!! Niko wa jf!! Napenda pia kuwashaur vijana wenzangu wajiunge na jf!!
 
Ya FB yaache kule kule na elimu utakayoipata hapa kawatangazie/wasambazie wenzio! Husiwe mchoyo, karibu sana!
 
Karibu sana, ya fb yaache hukohuko.
 
heshima kwenu wakubwa kwa wadogo! Nimegundua nilikua napoteza mda wangu mwing kudeal na fb while gaining less!! Niko wa jf!! Napenda pia kuwashaur vijana wenzangu wajiunge na jf!!

Karibu sana Mkuu, lakini hata humu wenye tabia za ki-FB, FB wapo wengi sana tu.
 
heshima kwenu wakubwa kwa wadogo! Nimegundua nilikua napoteza mda wangu mwing kudeal na fb while gaining less!! Niko wa jf!! Napenda pia kuwashaur vijana wenzangu wajiunge na jf!!
washauri na wazee pia waje huku!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…