habari hapa nilipo nipo na zaidi ya wanafunzi 40 ambao wanazitambua haki zao za msingi na madai maana tumechoshwa na majibu ya kijinga na ya kiupuuzi kutoka kwa bi.dada anayejiita eti meneja wa bodi sasa hii ni movement ya hiari na aman kwa anayetambua haki yake ya kupata elimu na mkopo
Tupo njian kwenda wizarani sala na maombi pia yanahitajika
Dont give up it is u'R right
huku kunamatumaini kwa kweli wametuambia tukachukue majibu yetu baada ya siku mbili kuanzia leo so hope mambo yawe sawa@all wakuu