Aisee una kumbukumbu nzuri sana...si unajua watoto ndio fahari ya wazazi
huyo babu Asprin
wala usimsikilize shost,hana hela ujue!!
...Ila ni wa kike woote!
"Hello Filipo,
We at JamiiForums would like to wish you a happy birthday today!
It's a special day in your life and NOT just a year older, but a year better!
Wishing you all the great things in life, hope this day will bring you an extra share of all that makes you happiest.
Happy Birthday!"
Aksanteni sana!
Copy: Invisible, Maxence Melo and you all
Daktari wa moyo wangu Lady doctor usimsikilize huyu mzandiki na mfitini. Hii ndo ile makitu Benny Mkapa anayaitaga "wivu wa kike".
Baada ya kusema hayo sasa waeza mwambia babu kama uliota ndoto tamu?
Popote ulipo Kaizer, sasa waweza niruhusu mtumishi wako nienende kwa amani kwa kuwa macho yangu yamemwona dokta?
Naam.. Asprin kwa macho yake ameyaona mapenzi yatokayo kwa Lady doctor,,,,sisi ni nani basi hata tukatae? Ila yupo mkuu kuliko huyu, naye yu aja upesi....
Daktari wa moyo wangu Lady doctor usimsikilize huyu mzandiki na mfitini. Hii ndo ile makitu Benny Mkapa anayaitaga "wivu wa kike".
Baada ya kusema hayo sasa waeza mwambia babu kama uliota ndoto tamu?
Popote ulipo Kaizer, sasa waweza niruhusu mtumishi wako nienende kwa amani kwa kuwa macho yangu yamemwona dokta?
yaani babu hapa ndiyo ninaota eti umeota busha babu mpaka wajukuu zako wanalisukuma kwenye toroli.
Haahahahahahah lolyaani babu hapa ndiyo ninaota eti umeota busha babu mpaka wajukuu zako wanalisukuma kwenye toroli.
Mtoto mtoto tu kaka mkubwa...