From Mo's Blog: Exclusive Interview With January Makamba

Mbona hakusema ana nyumba pale Wazo Hill nyuma tu ya kiwanda cha sementi?
 
..sasa nimebaini kwamba mwenye matatizo ni JK, washauri wake wako OK.

..inaelekea January Makamba ana mipango ya kugombea ubunge.

Duh! basi wewe kama umebaini leo utakuwa uko slow sana aisee. Wengine tulishabaini hilo tokea akiwa naibu waziri ....
 
Huuni upumbavu tu who is january to me by the way......si bora nipate mahojiano ya Mzee mwanankijiji walau ana endesha vuguvugu la mabadiriko!!

Kila siku makamba makamba......what do we get from them?? mbona hamwendi kuwahoji wabeba magunia ya mkaa kule mvomero ambao wananyanyaswa na serikali ati wasichome mkaa.....watakula nini??

makamba amekuwa RC Dar miaka lukuki na jiji likaendelea kunuka uchafu....alafu mnaniletea interview ya january........tena mkome, haya mambo pelekeni kwenye celebrities.
 

Hamtaweza kujisafisha kwa maji taka......mwakyembe alishawaeleza. Anayekuchukia wewe ni nani? kama siyo kujifurahisha tu hapa. Ufisadi wa baba yako pale manispaa ya kinondoni kuhusu viwanja alivyochukua (refer hoja ya Mh. Mdeme)...na mengine mbona hujataja?

......but for sure time will tell.
 
Watanzania lazima tufike mahali tuache ushabiki wa kijinga. Mtu anamtukuza january leo lakini anasahau kwamba idara nyeti zote za umma utakuta makamba family, chiligati family, ngoyai family, mkapa family, kikwete family, mwapachu family .......n.k.

Sasa unashangaa watu bado wananshabikia ujinga huu.... hawa ni watu wa kuwa monitor tena na vizazi vyao ili siku tukifunuliwa na muumba tunawashughulikia ipasavyo....hata kama wakati huo ni vitukuu.....lazima vijue wabaya wao ni akina nani.

Na nina shauri watanzania tuwe na utamaduni wa kuandika historia ktk vijitabu ambavyo vitawasaidia wajukuu wetu kujua nani alikuwa nani na alifanya nini.
 
guyz mi nadhani huyu January ni mtu smart na ana bidii ya kazi na kujifunza, kama kweli aliyoyasema hapa anayafanya na kuyatekeleza...

Pia kama haya mambo hayaku-editiwa na mtu mwingine...nataka kumaanisha kama haya yalimtoka live na mwandishi wa mo's blog akayaandika hivyo hivyo with minimum edits possible!

He did good on the interview...japokuwa kisiasa amechemka kusema ana urafiki na Mo na ndiyo maana amekubali kutoa hiyo 'opportunity' ya interview

Dk. Hamisi A. Kigwangalla.
 

Ndugu yangu, ni kweli kwamba the guy go t lucky just to be one of the Makamba's lakini kumbuka yeye amefanya interview kutokana na maswali aliyopewa, kama hujaridhika mfanyie yako!!!

Tujaribu kuangalia mandhari na positivity sometimes; hivi wewe ungekuwa Makamba ungekana kwamba Yusuf siyo baba yako, ungekataa maisha uliyoishi?

Malafyale, sio kila wakati tuwe na agenda hiyohiyo; na wewe je umefanya nini jipya?
 

Respect mkuu MTM

Kwa haraka haraka;what was the really motive behind of January's article?Alikuwa anajaribu kutuambia jinsi alivyopata shida utotoni kabla ya baba yake kuwa afisa wa serikali ya TZ?Alikuwa anajaribu kutuonyesha mlolongo wa elimu yake na vyuo alivyosoma au alikuwa anajaribu kutuambia uzoefu wake kwenye kazi za kutatua migogoro ya kimataifa?Kwa kweli sijajua hasa lengo lake alikuwa anataka kutufundisha nini!!

Anyways,namtakia mafanikio mema kwenye gurudumu lake la kujitafutia maisha,lkn namshauri kuwa kama anataka Ubunge wa Lushoto aanze kuwekeza sasa huko na hizi habari za kuuza Lubisi Kyaka au kulala nyumba za kuvuja hazitamsaidia!Namshauri aanzishe mradi wowote au Saccos kuwakopesha wakulima,vijana,akina mama na wanafunzi kwa riba nafuu huko kwenye jimbo analolimezea mate la Lushoto;sisi huku KYELA ni lzm ufanye hiyo kama mtu anataka kugombea udiwani au ubunge!

Karibu Kyela uone tunavyofanya kuwavutia wapiga kura mheshimiwa MTM!
 
sasa January Swali moja. Wewe umesoma conflict resolution na Diplomasia...Mbona unaitwa mshauri wa Uchumi wa raisi? Unajua uchumi gani kaka au ndo Rich-monduli? Hamna kitu hapa umebebwa na huna lolote (nukta). Sijaona jambo lolote la maana uliloongea kweli mtoto wa nyoka ni nyoka!
 
Hatuna utamaduni wa kurithishana utawala katika Tanzania. Ya Karume ni kama njiwa kumyea binadamu. Makamba hebu tulia. Ala!
 
Wengine hapa tatizo lenu ni uelewa mdogo wa mambo na wivu ndio vinavyowasumbua.

Kwa mtazamo aliokubali January Makamba kufanya hii interview amefanikiwa tena sana. Amesema tangu mwanzo kuwa "interview hii ni deliberately biographical" sasa wewe kama ulisoma ukitegemea zaidi ya hilo, mwenye matatizo ni wewe.

Ohh amehojiwa na rafiki yake; hivi mtaanza lini kuangalia "contents" badala ya "watu"??!!




 
Ukianza kusoma tu, kitu cha kwanza unachoona ni kwamba interview haina credibility, ni mtu na crony wake wameamua kufanya mchezo wa kuigiza.Hicho ndicho kitu cha kwanza kabisa unachoona, kabla ya kingine chochote.


Acha hizo m2wangu...give credits when its due yooh!....na ukisoma mwisho january amesema tuache chuki..hata kama ni mchezo wa kuigiza lakini unaeleweka au siyo....mlikuwa mnapiga kelel kutaka kujua wandani wa January haya sasa amewapa mnaanza kupiga kelel wa kwenu ni upi hebu leteni basi Biography zenu na nyie tuzichambue.....yoooh!
 
Dawg..you just beat me to the punch! Hata mimi nilikuwa nawaza hivyo hivyo. I'm like...kumbe hawa ni washikaji...from there I lost interest...


Have a baby by me and be a millionare.......oops no this is what i meant to say right...inamaana mimi nikatokea kumu interview lets say Invisible na ni mshikaji wangu wa karibu sana (huu ni mfano) kuna tatizo gani?....Nimeona upeo wake na nikaona why not na watu wengine wasimjue...msiwe na roho za kwa nini vijana wenzangu wa kitanzania....


January yoo listen m2wangu...miye nakufagiliya kinoma yaani interview iko very alright...na hata kama ukiwa unahitaji ina wewe akina Carl Rowe tupo hapa yaani mimi nakufagiliya all the way....wee nicheki mimi on the video phone......(i meant pivate hapa wachawi wengi)..or i will Gps YOU!
 
Who is Carl Rowe?
Au ulikuwa unamaanisha Karl Rove?
 

Hongera sana Januari kwa interview nzuri. Umepita katika maisha ya aina yote ya ufukara na yasiyo ya kifukara. nimepemda zaid comments zako za uhusiano wa mzazi ama ndugu na siasa.jinsi jamii inavyokuchukulia katika pande zote mbili yaani upande mzuri na upande mbaya. Hichi ndicho kinachotokea Tanzania kwamba nduguyo akiwa fisadi basi nawe unaambiwa kwamba ni fisadi hata kama hujui lolote analolitenda nduguyo. Lakini ikumbukwe kwamba maadniko yanasema mwana hata uchukau uovu wa baba hata siku moja kila mtu antabeba zigo lake la dhambi.
 
Muwe mnasoma na kitabu hiki The Mwembechai Killings and the political Future of Tanzania. kiko online.ili mjue wapi tumekota.

Kanda2,

Hajaombwa kuja kutueleza aina vitabu vya kusoma.Nani kakuhoji mbona unapoteza mwelekeo?
 

Hey,jamaa wala hajachemsha kueleza ukweli wake kwamba Mo ni rafiki yake kwani wae mnafiki wa kuficha ukweli?tunataka watu wa wazi na wa kweli.
 

Lol...Cuppy....what else can I say?
 

Well said. Jamaa walikuwa wanachonga kwamba huyu mtoto wa kigogo mbona hatumjui. Afu leo hii wanawekewa information hawataki kuzisoma. Eti sio credible.
 
Mwangalie Januari kama Januari. Hii ya kulinganisha na baba zao kwa kuwa tunawajua, sie ambao baba zetu hawajulikani tungekubali kulinganishwa nao?
'judge the content.......'

Zitto ukumbuke kuwa ingawa rationally vijana na watanzania wote you share a common destiny lakini you carry different BAGGAGES!! It is impotant to know how you off-load your******
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…