hamidshaban
JF-Expert Member
- Jan 4, 2011
- 262
- 32
Form 6 wakuu!we ni form 6 au diploma
Ckufanya mbinu zozote. Afterall niko mkoa man!Wamekupa kwahiyo ama kuna mbinu zngn ulifanya
Form 6 wakuu!we ni form 6 au diploma
Nitajitahidi sana kiongozi.Hongera sana hamidshaban ukasome kwa bidii sasa na utumie vizuri na kwa busara huo mkopo wako.
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Form 6 wakuu!
Niko mbali na mambo hayo kiongozihaya sasa kaweke heshima bar....
kwahiyo HESLB watatoa batch nyingine katika kila chuo kwasababu ni wengi ambao first time hawakupata but sasa mambo mazuri
Cmjui mtu huyo win7Wewe hamidshaban si mzazi wa Halima wewe? Au unatuzingua tu..................!!!!