Humu kuna ukweli amini japo wapo wachache wasiojali wanaingiza utaniWadau wanazidi kuchochea kuwa amesalitiwa, unadhani jamaa atampemda tena mke wake? Atakuwa hana amani maskini na ukute hajamsaliti. JF inaharibu sana mahusiano ya watu..Mambo mengine bora mtu ukae kimya kuliko kuyaleta humu
Nakupenda wewe peke yako, you are the only one, you are my number one..([emoji1787][emoji1787][emoji1787] means kuna namba two, three....na kuendelea)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bado, haijakaa sawa. "You're the only one", kwani kulikuwa na mwingine? Mimi najua nikiwa na wewe na hatujaoana ndio unaweza kuja na hizo swagga, upo peke yako. Tumeoana then unaniambiaje "upo peke yako"?
Inaweza kuwa msg ilideliver kwa wrong person, ningekuwa mshkaji ningembana hadi aseme ukweli.
Nashindwa tu kuelewa kwa nini watu wasiichukulie ina positive way, yaani mama wa watu kajitahidi kuwa romantic, anajua distance ni issue kaamua kabisa kuthibitisha kuwa man, upo alone usiwe na wasiwasi. Jamaa tayari amepanic, hatari hii!
Damn suspicious [emoji23][emoji23]"Nakupenda sana mume wangu sina mwengine zaidi yako" Je, kuna usalama kweli wakuu? Niko mbali na mke wangu, then from nowhere kanitumia hiyo text.
dah"Nakupenda sana mume wangu sina mwengine zaidi yako" Je, kuna usalama kweli wakuu? Niko mbali na mke wangu, then from nowhere kanitumia hiyo text.
Huy nimekwambia badobado yani baada ya tukio kahisi kama kaonekana yaniHayo sasa mengine. kama kweli wife anasaliti basi ni mjinga wa kiwango Cha lami, angemute tu sio lazima atume msg
Mkuu, sikusoma convo za katikati hapo, huenda nilipanda treni katikati ya safari ila baada ya kusoma comments chache na za mtoa mada, naona kuna kitu cha ziada!Huna msimamo mara uchukulie positive mara useme umbane [emoji23]
AhahahahHata ningekua mimi ningekaa kimya na nisipokee simu akipiga. Yani kumbe tayari kuna jambo lingine lilikua haliko sawa, naamini huyo dada kutokana na hayo mengine kutokua sawa akaamua kumkumbusha mpenzi wake hata kama bado kuna kamgogoro ajue bado anampenda kuliko mtu yeyote. Bado tena unanipigia simu unaniuliza kwanini nimekuambia nakupenda shida imekua hiyo kuliko mtu/mwanaume yeyote.
The lady is in abusive relationship na hivi wako mbali atapata psychological torture sana.
[emoji28][emoji28][emoji28]ila Maisha hayaHayo sasa mengine. kama kweli wife anasaliti basi ni mjinga wa kiwango Cha lami, angemute tu sio lazima atume msg
Okay MkuuMkuu, sikusoma convo za katikati hapo, huenda nilipanda treni katikati ya safari ila baada ya kusoma comments chache na za mtoa mada, naona kuna kitu cha ziada!
Anacomplicate mambo huyu. Na wanaume wengi huko mtaani ndio wako kama hawa wa JF sasa jamaa, anaenda job anawauliza washkaji hivi mwanamke akifanya hivi inamaanisha nini, anajazwa sumu, akifika kijiweni anajazwa sumu. Baadae anaenda kumtemea sumu mkewe. Mahusiano hapo lazima yawe pausa kichwa. Mimi binafsi naamini mahusiano hayana ushauri, mtu atanipa experience zake ambazo zinaweza zisiwe ndicho kinachoendelea kwa mwenza wangu.Ahahahah
Unajua ukimuelewa vizuri kabsa mtoa mada, utabaki kuumia tuu
Jaribu kumuelewa vizuri kupitia koment zake zote utaelewa tuu
[emoji28][emoji28][emoji28]ila Maisha haya
Mashindwa hata niseme nini
Nimeumia Sana kama mmi ndio mshkaji vle
Mie hata unibane vipi sisemi ukweli ng'o, wewe piga nitoe jicho lkn mwisho wa siku ndo nishakudanganya hivyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bado, haijakaa sawa. "You're the only one", kwani kulikuwa na mwingine? Mimi najua nikiwa na wewe na hatujaoana ndio unaweza kuja na hizo swagga, upo peke yako. Tumeoana then unaniambiaje "upo peke yako"?
Inaweza kuwa msg ilideliver kwa wrong person, ningekuwa mshkaji ningembana hadi aseme ukweli.
Kama unategemea kupata jema kwa haya mafurushi yalokwisha jikatia tamaa basi nawe mmoja wao.
Mkipendwa mpendeke mbuzi nyie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakat inafahamika kuwa am only.Mtu ukiamua kudanganya, basi utumie japo akili. Huyo mwenzenu kajichanganya. Unamwambia mume,..."upo peke yako hakuna mwingine"..[emoji23][emoji23][emoji23]
Ukishaona magunia ya mkaa yanakuja ndani utasema tu ukweliMie hata unibane vipi sisemi ukweli ng'o, wewe piga nitoe jicho lkn mwisho wa siku ndo nishakudanganya hivyo