Tariq Mimi
JF-Expert Member
- Apr 10, 2020
- 368
- 726
maturity....Puuzia tu.
Hivyo vimisemo ananitamkiaga sana yf nikiwa nampiga show ila hata sijisumbui navyo.Atajua mwenyewe.Yeye ndio anajua ukwel.Kama unamuamin poa kama humwamin pia fresh.baki na msimamo wako.
Hiyo message mjibu tu "HAINA NOMA YF.TUKO PAMOJA"
[emoji23][emoji23][emoji23]kwa hiyo kosa ni kusema Hana mwingine Zaid yake!!!Mmmh kujiamini gani huko, kwani mke wa ndoa anategemewa kuwa na mwingine zaidi ya mumewe?
Huyo katoka kumegwa kakuta alivyotarajia sicho alichokipata anajutia nafsi yake
Pengine alijua atakutana na show kali kuliko yako amekuta tofauti
I made peace with the situation, chochote atakachokifanya basi sawa ninachoona ni-focus katika mambo yangu, but i don't think if I will be royal to these creatures any more.
mkuu vp umeshapata kaziHèee TAYARI wamemhekenyaa,
Hapo ndo anajuta nafsi yk ndo mana amekutumia hivo.
USALAMA HAUPO MKUUU. POLE SANA[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
"Nakupenda sana mume wangu sina mwengine zaidi yako" Je, kuna usalama kweli wakuu? Niko mbali na mke wangu, then from nowhere kanitumia hiyo text.
mungu azid kukutengenezea njia ipo siku yakoNooo, walikuja mataperi et waniingize cha kike. Mmoja tu bro wa mbeya ndo niliona ana nia japo mashart yalikuwa magumu kwangu kdg mkuu