From nowhere nimetumiwa na mke wangu hii text

Mtamuua mtoa mada kwa SUTIRESI. Dah!
 
Nami nimewahi kushuhudia mke wa mtu katoka kupiga mechi za ugenini, halafu baada ya tukio akampost mume wake mtandaoni, nimelishuhudia hili kabisa kiongozi
 
Naungana na ww mkuu. Mwanamke akitoka kutiwa huwa anakuwa na upendo kwa mu e wake hatar
... tena mshkaji anasema mahaba ya ghafla! Tofauti na wanaume ambao wana uwezo mkubwa wa kupotezea, wake za watu wakitoka kufanyiwa huo mchezo nafsi zinawasuta sana. Ili "kutema nyongo" inayomsuta hizo ndio zao kujishaua bila sababu.
 
Kuna mpenz wangu nilikuwa namtumia SMS kama hzo baada ya kukaa muda mrefu bila kumtafuta maana Mimi sio mtu wa kupga misimu sana,basi akpata SMS hyo lazima anipigie nakuanza kunihoji kuwa hyo SMS ntakuwa nmemtumia bahati mbaya kuwa nilikuwa naituma kwingne.

Hii inatokea mtu unaempenda ukimkumbuka unaamua kumtumia SMS yoyote unayoona itampendeza,kwahiyo mkuu usiogope
 

Aiseeeee
 
Hajakuzoesha ujumbe wa aina hiyo ndo maana unapata shida...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…