From nowhere nimetumiwa na mke wangu hii text

Hii inaonyesha ni jinsi gani watu humu hawana utamaduni wa texts za hivyo kutoka kwa wenza wao.

Ujinga ni huyu bwana akibeba komedi za humu na kuzifanyia kazi.
We huwajui hawa wewe...
Hakuna tiketi ya wazi ya mkeo/mpenzio kuliwa kama "imani".
 
Eh[emoji23][emoji23][emoji23]jinsi gani mahusiano yamekuwa changamoto Hadi wa kwenye ndoa hamjiamini[emoji3][emoji3][emoji3]Yan msg nzr km hiyo unafikiria _ve tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Meseji haina uzuri wowote hii dada angu.Mkewe KALIWA BILA UBISHI na kinachomsumbua now ni hatia tu moyoni
 
Usiogope chukulia kawaida sana hata kama unapenda sana mbona huko upo kivyako na maisha yanaenda kupata dalili hizo inabidi ushukuru ushajua mapungufu bila jazba hapo kama nikuwekana sawa au kutemana haya yote inategemea mazingila yake
 
Mahusiano ni magumu sana. Mtu ukimjukisha kama unampenda anajiuliza tena mara mbili mbili, watu kwenye mahusiano siku hizi wanaangalia kwenye fault, mtu ukimtumia msg ataangalia shida ni nini ya wewe kumtumia msg. Ukimpigia pigia nayo ataanza kujiuliza au atakasirika kwanini unapiga simu sana, usipopiga pia ni shida utaulizwa ushapata mwingine. Basi mahangaiko tu
 
Ukisoma comment za humu nachoka kabisa. Watu hawana upendo ndani ya nyoyo zao, hawajui kupendwa, sijui kwasababu ile tabia ya wazazi wetu kushindwa kusema nakupenda mwanangu hata mara moja kwa miaka mitano ndio inakua mpaka kwenye mahusiano yetu inatuathiri.

Naamini we jamaa hiyo sio lugha yako ya mapenzi ndio maana huelewi, nyie ndio wale ambao watu hatuwaelewi hisia zako, hisia zilishachakazwa.
 
Kuna nyingine ni fikirishi kwa huyu anajitakasa huenda sio mzoefu au amefanyiwa jambo baya majuto yake ndo hayo.

Kajistukia huyo
Inaweza pia isiwe hivyo, kwanini uwaze negative? Ni kwamba hawana mazoea ya kuambiana au kutumiana msg za kimapenzi, wao ni mwendo wa kijeshijeshi tu siku zote. Mkiwa na mazoea hayo wala hutashtuka msg kama hiyo
 
Yote mawili yanawezekna.

Ama kweli mke an elezea upendo kwa mme wake.

Au anajishitukia, baada au kabla ya kufanya usaliti.
 
Nilikua nasubiri kuona comment yako, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Hapo akifanya na huyo hatatuma, ila ikiwa mwingne atatuma lol.
Una experience na mambo hayo,
Yaaan nacheka km mwehu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani weee m2 lol.
[emoji119][emoji119][emoji119]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…