From nowhere, ananiomba nimbembeleze....! Nianzeje?
Kwani we hujui kwamba binadamu wanapenda kubembelezwa?....MI nisipobembelezwa na mke wangu naweza hata nikapanda kitandani na viatu, na kujifunika shuka!...huh!
umbembeleze apate usingizi au?
wee umekuwa MARLAW????...huyo akuombaye from nowhere ummbembeleze mwambie aende kwa huyo "marlaw"..tena ametunga wimbo wa "BEMBELEZA"