From rugs to riches: Watu wanatoka mbali sana!

Son of Gamba

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2012
Posts
4,720
Reaction score
6,957
Kila mtu ana historia ya maisha yake. Hakika kupambana ndiyo njia pekee ya mafanikio, lakini kupambana kwa mwanamke inaweza ikawa ni kama kuteleza tu juu ya ganda la ndizi, hasa kutokana na uzuri wa umbo au sura. Uzuri imekuwa ni kama passport na visa ya kufikia mafanikio kwa wadada walio wengi.

Vyovyote iwavyo kila mwanadamu ana historia, kila mwanadamu ana mahali pa kuanzia na akifika pale alipopatamani siku zote kule alikotoka huwa inabakia kuwa ni historia tu. Haijalishi ni namna gani umefika, iwe ni kwa kubebwa, kwa kujibeba, kwa kupambana, au bahati tu, yote ni mafanikio.
 
Hajafuata tu wigi lake kwa Mama Do_mondi
 
Difn of Rich:
having wealth or great
possessions, abundantly supplied
with resources, means, or funds; wealthy:
 
Kuzaliwa Mwanamke ni MTAJI Tosha,Ukibarikiwa Zawadi ya Kudumu,Mahaga,Reception,Ngozi Laini Nyororo Yaani ukiwa P.H.A.T Girl basi utawapanga Mapedejhe(P.D.G).....Utatembelea magari ya ukweli,Utapangishiwa prime area,utafunguliwa Boutique,utasafiri sana nje ya nchi,utatembelea sana mbuga za wanyama,utalala sana hoteli za nyota tano ila kama brain haijakaa sawa utaishia kupata "NGWENGWE" na si Utajiri.
 
Nahisi enzi hizo huko uswahilini itakuwa ndiyo ilikuwa balaa kabisa. Amekaa kama wale wa kupewa kiepe yai na kuondoka naye.


Enzi hizo ilikuwa unabandua ili akale, hawa kina Diamond wanaparamisha bei
 
Naona ni kama picha ya location tu ktk harakati zake za upigaji picha..kwanini..ukiangalia picha zote hazina tofauti kubwa sana ya kiumri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…