FROM: Series kali sana ya kutisha

raphael andrew

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2017
Posts
817
Reaction score
938
Series inahusu mji mdogo ambao ukijichanganya tu kuingia unashindwa kutoka yaani unakua umekwama na huwezi kuondoka kwa namna yoyote.

Na balaa zaidi ni usiku kuna viumbr wanakuja, haitakiwi kuacha sehemu yoyote wazi kwenye nyumba yako. Mzigo una seasons 02 ambazo ni complete.

Cha zaidi nilichokipenda ni soundtrack ya hii movie ni kawimbo flani hivi katamu sana

CC: Fahamu movies IG
 
shukhran mkuu uzi huu unamaana kubwa sana hasa kwa upande wangu napenda sana movies za kutisha especially series kama hizo huwa sipat usingizi bila kuziangalia .......
 
Tujuze na series nyingine kali kama hizi.! kiufupi umetisha sana
 
shukhran mkuu uzi huu unamaana kubwa sana hasa kwa upande wangu napenda sana movies za kutisha especially series kama hizo huwa sipat usingizi bila kuziangalia .......
Haya kwa maneno yako utakuwa umeangalia series nyingi sana za kutisha.( na mimi ndiyo ugonjwa wangu) fanya kudondosha majina ya series za kutisha nzuri
 
Inahusu nini??
Ndege iliyobeba wanafunzi ilidondoka kwenye msitu mkubwa wakashindwa kutoka kutokana na mauzauza ya kwenye msitu huo, ila kuna waliweza kutoka. Sasa dunia inawauliza waliwezaje angali wengine wamekufa? (Hiyo ni siri nzito sana baina yao wanafunzi, na hapo wameshakuwa wakubwa wengine wameoa wengine wamelewa)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…