Bahati mbaya msaada kama hiyo huwa haipatikan kwa wakat muafaka. Maake hauwez kumudai sababu haujamkopesha. Ila wanajanzi ebu tusaidiane kuchangamsha akili yaani 'critical thinking' hivi ahadi alizotupa huyu mfalume kimsingi si ni RUSHWA? Kwa maana amekuja kutushawishi nchi yetu kuiunga mkono moroco kurudishwa kwenye AU. Je tutakuwa na uhuru wa kupiga kura ya NO VOTE wakat chake ndo kaishatuahidi na if cast no vote hatotupa alichotuhaidi. SWALI JE HIZI AHADI SI NI RUSHWA KWETU. TUJADILI