Salaam.
Wadau naomba msaada wa tatizo hilo. Gari langu ni Suzuki Escudo 2002, kila mara nachonga hiyo metal bush ambayo iko mguu wa kulia wa mbele kwenye HUB but ndani ya week moja inaanza kuisha na front axle inaanza kupiga kelele nikipita kwenye rough road.
Sina uzoefu mkubwa kwenye Suzuki.
Natanguliza shukrani.