maro355
New Member
- Feb 8, 2022
- 2
- 0
Shamba linauzwa ni beach plot liko Tanga sehem inaitwa AMBONI (mafuriko).
Shamba lina ukubwa acre 2 1/2, shamba liko mazingira mazuri kuna umbali usiyo pungua kilometer 1 sea level kutoka shambani mpaka bandari ya tanga na umbali wa kilometer 8 kutoka tanga mjini hadi kufikia Shamba. Shamba lina hati ya mauziano. Eneo limeshapimwa tayar, Suitable for hotel au depot ya mafuta.
Starting price million 150.
Mawasiliano: 0657354624