Frozen beef,chicken and pork cuts

Kidogo chetu

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2009
Posts
1,432
Reaction score
992
Habari wana JF
nimepata soko la kupeleka Frozen beef ,chicken na pork nje
Naomba msaada wa yeyote anayeweaza kunisaidia picha zabidhaa hizo anitumie kwa pm
 
Dah unaomba picha tena. Wewe uta supply nini? Peleka picha ya vitu utakavyowauzia. Tukikupa picha za chotara wakati wanataka wa kisasa itakuwaje? Unajua wenzetu wana utaalamu picha inaonyesha texture na contents za nyama unayouza, utalikosa soko bure
 
Habari wana JF
nimepata soko la kupeleka Frozen beef ,chicken na pork nje
Naomba msaada wa yeyote anayeweaza kunisaidia picha zabidhaa hizo anitumie kwa pm

Tatizo letu wabongo sanaa zimezidi ndiyo maana tunanyimwa kazi za maana. Sasa wewe kaka uliomba kazi wakati haujui hata bidhaa utapata wapi, sasa hapo wamekuomba picha tu hauna, WATAKWAMBIA UPELEKE SAMPLE, UNAZO? Pork najua pa kuipata kwa wingi sana, toa specification za buyer wako wanataka cut zipi na zifungwe namna gani kisha wananunua bei gani, au wewe utanunua bei gani kutoka kwangu, kama kutakuwa na faida kwangu tunafanya kazi, HAKUNA MLAI KAULI TAFADHALI, CASH ONLY!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…