Fruit salad

Ashuraju

Member
Joined
Dec 6, 2012
Posts
36
Reaction score
2
Habari zenu ndugu zangu!!!

Jamani ninashida ya ujuzi wakutengeneza fruit salads, kama kuna mtu anaweza nipatia link au recipes nitashukuru sana. nahitaji kujua aina nyingi nyingi ya fruit salad, ili nitengeneze nyumbani.
Asante sana.
===========================================================================================================


 
Embe bivu, parachichi , papai ,na ndizi mbivu safisha vizuri menya kata vipande vidogo vodogo changanya pamoja then mwagia kwa juu cream ya maziwa fresh yaliyochemshwa
 
Embe bivu, parachichi , papai ,na ndizi mbivu safisha vizuri menya kata vipande vidogo vodogo changanya pamoja then mwagia kwa juu cream ya maziwa fresh yaliyochemshwa

Maziwa fresh haya ya kawaida,ya kwenye maboksi
 
sio kazi kubwa sana. Kama upo TZ, angalia matunda yanatopatikana sehemu uliyopo, kulingana na msimu.

mfano ukija hapa napoishi kwa sasa nitakutengenezea fruits salad ya watermellon, banana, pear, apple, pineaple, and avocado. kwenye sahani, naweza decorate kwa zabibu na vipande vya machungwa vilivyomenywa kwa mkono, sio kisu.
naweza kamulia maji ya limao kidogo, au maji ya machungwa. mi mtu wa diet, siweki syrup wala cream

angalizo, hii haikawi kwenye fridge siku nzima/ muda mrefu sana, inaliwa siku hiyo hiyo. ndizi na parachichi zikikaa sana frijini zinakuwa nyeusi flani hivi. Chungwa linakuwa chungu/ na ukali kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…