Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Nimewahi andika kuhusu hili, nimeona niliandike tena na kulimalizia.
Frustration ni hali impatayo mtu baada ya kushindwa kufikia malengo yake
Kwenye uzi huu tutaona jinsi watu mbalimbali wanavyo react dhidi ya kushindwa kufikia malengo.
1. Rationalization(Sizitaki mbichi hizi)
Moja ya tokeo la frustration ni rationalization. Hapa mtu anatafuta sababu ya kujifariji kushindwa kwake. Ni kawaida ya binadamu kutafuta sababu. Tunafanya hivyo sababu ukweli unaweza kufanya hali yetu ya akili iwe mbaya sana. Mtu anayefeli mtihani anaweza toa sababu kuwa ulikuwa hauko fair badala ya kukubaliana na ukweli kuwa ni mvivu wa kusoma au mzito kuelewa. Rationalization inalinda akili zetu.
2. Apathy(Ndivyo yalivyo).
Assume nchi inatawaliwa na dikteta. Wote wanaojaribu kupambana naye wanauwawa na kufungwa. Maisha ni magumu lakini kila anayejaribu kusema chochote anazimishwa vikali. Mwisho wa siku jamii yote inaona kuwa ni afadhali kutulia na kuacha mambo yaende kama yalivyo kuliko kujihangaisha.
3. Aggression(vurugu)
Hapa alishindwa kufikia malengoo yake huwa mkali na hasira. Anaweza dhuru mwingine au kitu kimwili au kwa maneno. Wakati mwingine ukali huo huelekezwa kwa kitu kilichosababisha mtu kutofika malengo au kwa kitu kingine. Unaweza kuta maza kaudhiwa(Kafrastretiwa) na mume wake lakini hasira anapeleka kwa watoto. Mume timu yake imefungwa lakini vurugu anapeleka nyumbani.
4. Fantasy(Ndoto za mchana)
Hapa ni pale mtu aliyeshindwa kufikia malengo anaanza kuota ndoto za mchana sababu inamsaidia kukabiliana na ukweli. Mtu aliye na hali mbaya kichumi anaanza fantasize kulima tikiti na kupata 50m ndani ya miezi minne. kwenye akili yake anakuwa kama tayari amefanikiwa hivi. Au amebet na kupiga milioni kadhaa. Au kama Alnacha alivyoota amekuwa tajiri na kuoa binti ya waziri mkuu. Ndoto za mchana zinasaidia kukabiliana na hali ya kushindwa kufikia malengo.
5. Compensation(Kutafuta mbadala).......