Frying pan za chapati nzuri

Frying pan za chapati nzuri

kinywanyuku

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2015
Posts
3,746
Reaction score
2,924
Wadau wapishi habari zenu

Nilikuwa nauliza hivi frying pan za chapati zile zenye mishikio ya plastiki ngumu za dukani zipi imara hazishiki kutu halafu hivi haya makangio ya chapati yanaotengenezwa huku mitaani ya chuma tupu na haya ya dukani yapi mazuri kwetu sisi tunaopikia kila kitu kutumia gesi kasoro nyama na maharage nashkuru
 
Kwani nyama huwa unapikia wapi mkuu?
 
du ww jamaa ww na vyuma vilivyokaza hata ww mwenyewe maharage na nyama unatumia mkaa
Maharage sawa tena mimi nachemsha mengi mengi yakiiva nayapack wa contena nayafreeze naunga kidogo dogo, nyama ndugu yangu kwenye gas inatosha jamani.
 
Maharage sawa tena mimi nachemsha mengi mengi yakiiva nayapack wa contena nayafreeze naunga kidogo dogo, nyama ndugu yangu kwenye gas inatosha jamani.
nashkuru dada vp utumbo nao unachemshia kwenye jiko la gesi
 
Sie huku uswahilini tunaita 'flampeni'
naomba nisaidie dada flampeni nzuri ipi ya dukani isiyoshika kutu nimechoka kukaangia mayai sufuria na vilevile nataka kupikia chapati za maji
 
nashkuru dada vp utumbo nao unachemshia kwenye jiko la gesi
Wewe mwanaume unapika mpaka utumbo? utaoa kweli?

Huwa napika mara chache sana utumbo nahisi mwaka huu nimepika mara moja, ndiyo nachemshia gas, frying tafuta non stick za dukani hazishiki hayo makutu au vyuma vikibana tafuta kwenye vyombo mtumba unajipatia kubwa na nzuri na halishiki.
 
nashukuru dada,utumbo napika mara moja moja napendelea supu yake ile
 
Hii dunia ya leo unawezaje kupikia mkaa? Hivi hata mitaani mkaa upo kweli? Tubadilikeni jamani .its either gas or electricity. Huo mkaa ni kujitafutua magonjwa na kuchafua mazingira pia
 
Back
Top Bottom