Huyu jamaa ni Mchawi. Juzi yeye na wenzake waliwanga ili Simba ifungwe au idroo, ndo maana alikuwa full confident.
Watu wanaposema Simba inahujumiwa sana nje ya uwanja ndo kama hivi sasa. Huyu Mwanga Kuna wakati (tena mara nyingi tu) amekuwa anafaulu mikakati yake dhidi ya Simba, ila jana amefeli.