FT: Al Ahly 1-1 Zamalek | Penalties: Al Ahly 3 -4 Zamalek | CAF Super Cup | Kingdom Arena-Riyadhi | 27.09.2024

Hapana zilizlkua zinashindana..yani hizo mbili ndo zimefika fainali...nadhani hata wydad ilikuwepo...nikajua ni kombe la waarabu...๐Ÿ˜„
Club Bingwa Africa winner vs Shirikisho Winner 2023/2024
 
Hawa watu wangeachana na soka la afrika wajikite huko Asia huenda wangepiga hela zaidi
Imagine team mbili kutoka afrika zimeijaza kingdom arena๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œsio wenzetu hawa
 
Zamalek wanapata free kick nje kidogo ya 18
 
Kipa Wa Zamalek anaokoa mchomo wa hatari hapa
 
Zamalek wameleta taharuki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ