🤣🤣🤣🤣 kawabeba km wale wapuuziTulishachapwa kimoko, refa kasema offside,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa mkapa.tena mkuu🤣🤣Simba wanakiwasha kama wapo kwa mkapa
Mi naifatilia tu hapa kwenye masimulizi ....make najua HT tu mwarabu atakua katukanda wanasimbamechi haina mvuto kabisa
Sisi mbumbumbu tunasema amin ila tumefurah sanaaaaaNawaombea Mbumbumbu washinde tupeleke timu nusu. Mapovu yanavumilika na yatapita ila heshima ya Taifa itabaki.