FT: Al Ahly 2-0 Simba | CAF CL Sec: Leg | Cairo International Stadium | 05/04/2024 (Agg 3-0)

Nimekufuatilia Leo, umesimama kama mwanamichezo.

Uko Sawa Sana leo, nimeangalia mechi ya Simba first half nilivyoona Simba hawafungi goli nimeamuwa kujilalia zangu.
Scars huwa ni mwanamichezo mzuri sana na binafsi namkubali mno ila huwa anajizima data na aliwahi kusema kuwa kwenye utani na ushindani wa timu hizo lazima ajizime data potelea mbali. Hiyo ndiyo sababu kwangu huwa namnchukulia kama among the best watani wachache. Salute to him.
 
Simba msijisahulishe mmepigwa nje ndani dadeq 🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
🀣🀣🀣🀣 toka pepo la refa kupendelea mamelod…. aahhh kumbe hangover bado ipo!!
Toka pepo la ulevi, toka pepo la kupeleka timu mbovu km kolo
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wifi naomba niache familia nzima leo ina machungu..!πŸ™Œ
 
Kikosi kikiwa hivi nitakuwa na matumaini yakwemda matuta
Ayoub
Hussein
Kapombe
Inonga
Fondo
Sarr
Putin
Chama
Fred
Miq
Onana

Mabadiliko yawe kwa fred,kapombe na saido aingie atoke onana.
Tuna timu mbovu. Main reasons ni viongozi na bila mabadiliko ya viongozi hakuna kitachobadilika. Sasa wanachama jipeni moyo hawa viongozi wafanye mabadiliko ya maana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…