Ukiwa Arsenal maisha yanakuwa mazuri mno huna stress kama za slot, maisha safi kabisa 😎Unataka kila mtu apate huzuni kama wewe
Ile kile Kipara muda wote kinatia huruma 😅Ukiwa Arsenal maisha yanakuwa mazuri mno huna stress kama za slot, maisha safi kabisa 😎
Tunapiga Treble mwaka huu, uefa, ligi na carabao, FA tunawachia mgombanie 😎Ile kile Kipara muda wote kinatia huruma 😅
Ila nyie tatizo kwenu kuna ukame
Hii post yako nahiifadhi nikitaka kucheka nitakuwa naisoma 😂😂😂😂😂Tunapiga Treble mwaka huu, uefa, ligi na carabao, FA tunawachia mgombanie 😎
Dah! 😅 haya bwanaHii post yako nahiifadhi nikitaka kucheka nitakuwa naisoma 😂😂😂😂😂
Hivi ni timu gani kule uingereza ambayo haijawahi kushuhudia ukame wa mataji?Ile kile Kipara muda wote kinatia huruma 😅
Ila nyie tatizo kwenu kuna ukame
Mkuu acha wasi wasi hii mbona rahisi Sana kwetuArsenal hii game inabidi tujikaze sana, tofauti ya goli 1 si jambo la kujivunia sana
Basi Sawa 😂Daah kiongozi Nina battle na dosho12 tu Kwahiyo usiwe serious sana na hili
Sasa mnataka kuanza kuleta mazoea. Leo Arsenal anakufa nyumbani kwake na kuondolewa mashindanoniMy full time prediction
Arsenal 3-1 Chelsea
Then Arsenal proceeds to the final
Hiyo labda uote ndotoni tuSasa mnataka kuanza kuleta mazoea. Leo Arsenal anakufa nyumbani kwake na kuondolewa mashindanoni