nilikwambia kipindi cha 2 utazungunza mengineMayele hapo kafanya kazi kubwa sana nam appreciate
Tulia mtani kaa kwa kutuliaHaya mashindano mengine CAF inabidi wayafute tu, tunaumizana macho bila sababu ..
utakuwa ndio umefika sasa hivi uliza vizuriUto wametoka pangoni
Naweza nikazungumza mengine yanayopishana na hayo maneno tenanilikwambia kipindi cha 2 utazungunza mengine
yule mtangazaji alisemaje
Subiri wanakuja hapa kujazana kama nzige baada ya kupata goal [emoji3]Uto kama uto
mil 5 zinatoka kwa wananchiMama tutamfilisi mil 5,tunaanza kuzihesabu.
Timu yako ya utotoni ishawashwa hukoView attachment 2530353
Kila la kheri Bamako timu yangu pendwa toka utotoni
Aliyekuwa anawatembeza uwanjani ni Musonda, na sasa ni MarathonAmemtoa nani aliye kuwa anawatembeza
Wewe ulikuwa na heka heka tang mwanzo wa mechi, hao wengine je?utakuwa ndio umefika sasa hivi uliza vizuri
NakubaliFriends of Bamako mpo hampoooo, mpo wapi mbona siwaoni