FT: ASEC Mimosas 3-0 Simba SC | CAF Confederation Cup | Stade de L' amitie General

Hakuna protocol ya dzaini hiyo kwamba timu kubwa haifungwi na timu ndogo, hiyo ni wishfully thinking

Maswali uliyouliza kuhusu simba ugenini, jiulize hivyo hivyo kwa timu zilizopigika kipindi simba yuko nyumbani
 
Hivi uto mnapataga wapi ujasiri wakuicheka Simba ikifungwa kimataifa ? Wakati nyie makundi hamjawahi kusogeza pua zenu?
Umeanza lini kufatilia mpira? Makundi babu Hans katupeleka mara mbili utawala wake robo sisi ndio wa kwanza kufika nchi hii so kuyumba kwangu hii miaka 4 isifanye usisahau bwana mdogo hapa tunasaga kunguni usiingie nusu hatutalala mjini siiwazi robo mm nishaingia robo zaidi ya mara 3 nusu ndio utaniziba mdomo mm sio robo never
 
Boko gani tena?
 
Dah Mkuu unamjua Lwanga na Kanoute wewe!?
 
Hebu tupe nna matokeo yalikuwaje Sir.
 
WIKI hii tutafanikiwa kusikia kuhusu goli la wiki kama ilivyokuwa ile wiki ya SAKO, hebu tusikilizie
 
Mechi Ya Jana Tulifungwa Kwasababu Ya Pablo Technically Alizingua, Kama Lwanga Alikuwa ana uwezo Wa Kucheza Why Alianzia Bench? Why Kibu Alianza Mbele Ya Morrison?

Jana Lawama zote kwa Kocha Kwa Kupanga Kikosi Cha Kizembeee.
mechi ya jana Lwanga angeanza, asingemaliza mechi bila umeme
 
Kikosi bora cha wiki Manula ndani. Kununa kuko pale pale
 
Yule namba 10 wa Assec, K. Aziz wachezaji na bench la ufundi la Simba hawata msahau. Alikua anawafundisha namna gani soka linachezwa.
 
Mlichapwa vizuri sana bila fujo
 
Yule namba 10 wa Assec, K. Aziz wachezaji na bench la ufundi la Simba hawata msahau. Alikua anawafundisha namna gani soka linachezwa.
Msimu ujao atatua Msimbazi huyo pamoja yule wa Niger aliye wafunga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…