Yanga amekimbiwa na Simba si mara moja. Naamini ulikuwa bado hujazaliwa..1968,1993 ulikuwa umezaliwa kweli? Na siku ile mnang'oa viti uwanja wa "Taifa" unakumbuka?Mmesahau mlivyokula kona na basi lenu hadi mechi ikaahirishwa? Sisi hatuna kawaida ya kukimbia mechi.
Wamecheza mchezo wa hovyo kipindi cha pili. Pasi chonganishiIsra naye ni majeruhi
Sana yaniWamecheza mchezo wa hovyo kipindi cha pili. Pasi chonganishi
Kwamba 1968 ukikuwa na utambuzi wa kujua kinachoendelea katika jiji la Mzizima kuhusu Yanga na Simba Sc? Hii inamaana ulizaliwa miaka zaidi ya 20 nyuma ya hiyo 1968 ambayo labda tuseme ni 1948 wakati vita ya pili ya dunia inamalizikia? Na sasa tuko pamoja hapa Jf ukitype na kuongea lugha za kihuni kama kawaida?Yanga amekimbiwa na Simba si mara moja. Naamini ulikuwa bado hujazaliwa..1968,1993 ulikuwa umezaliwa kweli? Na siku ile mnang'oa viti uwanja wa "Taifa" unakumbuka?
Yaani Simba akishinda refa kaja na matokeo, ungeenda kulima kwani umeshikiwa hapo kuangalia mpira.Ni aibu kujisifia upuuzi,kulikua Kuna haja gani ya hii mechi kama marefa wamekuja na matokeo yao
Fools have their rooms closed!Kwamba 1968 ukikuwa na utambuzi wa kujua kinachoendelea katika jiji la Mzizima kuhusu Yanga na Simba Sc? Hii inamaana ulizaliwa miaka zaidi ya 20 nyuma ya hiyo 1968 ambayo labda tuseme ni 1948 wakati vita ya pili ya dunia inamalizikia? Na sasa tuko pamoja hapa Jf ukitype na kuongea lugha za kihuni kama kawaida?
Hivi huwa mnaona ukubwa ni dili sana eeeh?Jitahidini basi hayo mapande ya umri mnayojipigia yaendane na mnachojadili humu.
Topolo wewe.
Nyie ndio mlipewa penati kwa mtu aliyeshika nje ya box?Uko sahihi kabisa. Ingekuwa ndiyo Yanga wamebebwa kiasi hiki; muda huu zingetawala kelele za bahasha.
Ila kwa sababu ni wao, watajifanya hawajaona kilichotokea.
Uto si timu ya kujipima nayo.Si kipimo kabisa.Tukiweza kumpiga Uto....inaweza kuwa kipimo kizuri kwa Wydad ?..
Uko sahihi kabisa. Ingekuwa ndiyo Yanga wamebebwa kiasi hiki; muda huu zingetawala kelele za bahasha.
Ila kwa sababu ni wao, watajifanya hawajaona kilichotokea.
Yanga wamekimbia sana tu, ikiwemo ile mechi ya Kagame hadi wakafungiwa, usijisahaulishe.Yanga amekimbiwa na Simba si mara moja. Naamini ulikuwa bado hujazaliwa..1968,1993 ulikuwa umezaliwa kweli? Na siku ile mnang'oa viti uwanja wa "Taifa" unakumbuka?