FT| ASFC: Simba SC 5-1 Ihefu SC | Azam Complex Stadium | Aprili 7, 2023

Hakuna mechi tena ilishamalizwa mezani .
Kwahiyo hata ile ta Horoya aliyofungwa saba, nayo ilimalizika mezani?

Simba Sc hajaanza leo kushinda goli nyingi ndiomaana hata kwenye ligi ana magoli mengi kuliko Yanga ambaye kashinda mechi nyingi.

Unashaanga hizi goli, za Horoya utaziitaje sasa.
 
Huyu kipa wa Ihefu anajihami sijui ana roho pea mbili?
 
M-BET Wanatendewa haki halafu Wenye Nchi tutarudi Na 'Visit Tanzania' ...! Raha iliyoje Kwa mdhamini..!

Sportpesa Wanajuta Kumfahamu Tarimba..! Na Yeye Kwa Sasa ni Shabiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…