OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Hakika nguvu mojanguvu moja
Daah tangu mchana nazurura humu kusaka Uzi mechi ya leo jamani sioni. Nikahisi mechi imeahirishwa atiHuu uzi vepee??
Naona watu hawana tymDaah tangu mchana nazurura humu kusaka Uzi mechi ya leo jamani sioni. Nikahisi mechi imeahirishwa ati
Kombe la dunia mamaNaona watu hawana tym
.Mwenye msimamo wa ligi atupie jama
Kyombo 10’
Phiri 15’P 18’ 24’ 69’
Sakho 28’
Chama 32’ 74’
Mwamedi atuachie timu yetu.Leo nimemuona Nelson Okwa akicheza.
Sijui alisajiriweje Simba.
Usajiri mmbovu ni hasara kubwa sana kwa maendeleo ya timu.
Kamati ya Usajiri ya Simba wanatakiwa kijitafakari sana.
Kumbe point zenyewe 4 tuu haiumii
Namuona Bingwa mtetezi amerejea kwenye nafasi yake pale juu. Halafu mtu na mdogo wake wakiendelea kukabana koo!
Pambaneni kwanza na Azam kabla hamja tuwaza sisiKumbe point zenyewe 4 tuu haiumii