FT: ASFC: Singida Big Stars FC 0-1 Young Africans | LITI Stadium | 21-05-2023

Wakipekee

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2019
Posts
6,194
Reaction score
10,711
Mtanange wa kumtafuta mwanafainali atakayecheza na Azam pale mkwakwani Tanga.

Game itaanza itaanza saa Tisa na nusu.

Kikosi cha Singida

Kikosi cha Yanga​

Mchezo huu ni wa Nusu Fainali
Mchezo umeanza
4' Bado kasi ya mchezo haijawa kubwa
8' Yanga wanamiliki mpira muda mwingi
15' Kasi ya mchezo inaongezeka
20' Bruno anakosa nafasi ya wazi, mpira wake wa kichwa unatoka nje
23' Yanga wanajibu shambulizi lakini kipa wa Singida anakuwa makini
24' Azizi Ki anaotea
30' Yanga wanafanya mashambulizi kadhaa, wanakosa umakini kumalizia
35' Tayari wachezaji wawili wa Singida wana kadi mbili za njano
40' Singida wanakosa nafasi ya wazi, mpira unatoka nje
42' Mchezo ni mkali kwa pande zote
45' MAPUMZIKO

Kipindi cha pili kimeanza
55' Timu zinashambuliana kwa zamu
60' Shuti la Bruno linatoka nje
64' Mpira unachezwa katikati ya uwanja zaidi
82' Goooooooooooooooo
Mayele anafunga goli baada ya kutokea piga nikupige kwenye lango la Singida
90' Zinaongezwa dakika 4
FULL TIME
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…