Sawa mshindi wa michuano ya kufa kiume.Michuano ya loosers hii
Ngoja nikaweke Sawa takwimu kwenye ule uzi"Mchezaji mkubwa huamua mechi kubwa kubwa" Mayele asifananishwe na chibuku
Ni kwel kwakua wemgi basi yawe mafup ili tuyasome na kuyachambua kisha tuyafanyie kazi.Maana kwao lawama mzigo..sisi lawama kwetu cheo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]...! Yasiwe marefu,maana ni mengi. Makolo wako wengi wengi wengine vilio
Usisahau kunitag Mkuu. 🤣Ngoja nikaweke Sawa takwimu kwenye ule uzi
Mhhhh Yanga tunaomba mganga wenu
Bahasha tunatembeza kuanzia bongo, uarabuni , africa magharib na kusini..Makolokolo yatalalamika kuwa Yanga katembeza bahasha au?
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Kama hata kutembeza bahasha sio kazi na wao watembeze tuMakolokolo yatalalamika kuwa Yanga katembeza bahasha au?
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Yaani rahaaaaaa.Imagine being us... [emoji28]
Ndio ndio baba bulubendi🤣Mayele apewe wizara ya mwigulu
Wazee wa kufa kiume, punguzeni makasiriko, wekezeni kwenye timu yenu mpate raha hiziYanga awe aiwakilishe kasikazi mwa Africa kisha waarabu wawakilishe Afrika magharibi?
Akili za wapi hizi? [emoji23]
Daaah mbavu zangu miye jamani [emoji28]Bahasha tunatembeza kuanzia bongo, uarabuni , africa magharib ma kusini..
Kwakwel kwenye bahasha tumejipanga