FT: ASFC | Yanga S.C 1-0 Geita Gold F.C | Chamazi Complex Stadium | 08.04.2023

Singida akicheza mpira,uto hatoboi fainali,ila kwa kuwa ni yanga b,basi ndo hvyo fainali ni kolo vs utopolo na mshindi ni kolo
 
Yanga ya leo ilikuwa dhaifu sana ingawa Kocha alifanya mabadiliko round ya pili lakini bado timu ilikuwa dhaifu sana. Nimeanza kuigopa derby. Imekuwaje Doumbia hajawahi kupewa namba?
 
Simba inavyoshinda goli nyingi inaufanya mpira wa miguu uonekane rahisi sana...lakini wapi wala sio hivyo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…