FT: Azam FC 0-2 Simba SC | NBC Premier League | Azam Complex

Huyu pimbi aliyeanzisha uzi mbona ameutelekeza? Hadi sasa kichwa cha uzi kinasema Azam 0 - 0 Simba. Au ni Liutopolo limekimbia uzi wake (maana lilijua Simba atafungwa)?
 
King Libase anawakeketa bila ganzi wana lambalamba na kigegenge cha GMS kinachowasapoti

Salamu za tarehe 10 octoba
 
Huyu pimbi aliyeanzisha uzi mbona ameutelekeza? Hadi sasa kichwa cha uzi kinasema Azam 0 - 0 Simba. Au ni Liutopolo limekimbia uzi wake (maana lilijua Simba atafungwa)?
heading huwa haibadilishwi na alieanzisha thread bali moderator tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…