FT: Azam FC 2 - 1 Singida Fountain | NBC Premier League | Azam Complex | 21.09.2023

FT: Azam FC 2 - 1 Singida Fountain | NBC Premier League | Azam Complex | 21.09.2023

Dakika 10 zijazo Azam Complex mchezo wa Round ya 3 Ligi kuu Tanzania Bara
Kati ya Azam FC na Singida Fountain Gate utaanza hapa niko tayari kukuletea mtanange huu
 
Mashabiki wako wakutosha kabisa
 
Singida FG
Wanaanza mchezo huu wakiwa na kocha msaidizi
 
Wachezaji na Mashabiki wanasimama dakika moja.
Kutoa heshima kwa wenzetu waliopoteza maisha kwenye ajali
 
Mpira umeanza hapa Singida wameanza
 
Shambulizi linaelekea upande wa Azam sasa
 
DK 2' Bado hakuna aliyeona lango la mwenzie
 
Bado kuna butua za hapa na pale, mpira haujakaa chini
 
Azam wamerudi nyuma kujipanga vizuri
 
Beki wa Singida Fg anafanya uzembe unaoweza kuwagharimu sana
 
Back
Top Bottom