FT: Azam FC 2 - 1 Singida Fountain | NBC Premier League | Azam Complex | 21.09.2023

Bruno analeta uchoyo hapa
 
Azam wanafanya Sub dakika ya 28
 
Dk 30' Azam FC 1-0 Singida FG
 
Linapigwa soka lakuvutia sana hapa
 
Azam wana ushika refa kapeta
 
Dk 35' Azam FC 1-0 Singida FG
 
Singida FG wanapata kona hapa
 
Kuna shambulizi limefanyika kwa lango la Singida dakika hii
 
Bruno uchoyo unamcheleweshea mafanikio ya goli
 
Dk 41' Azam FC 1-0 Singida FG
 
Kiufupi hii mechi inavutia sana, kuliko iliyopita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…