FT: Azam FC 5 - 0 KMC | Ligi Kuu ya NBC | Azam Complex | 07/12/2023

FT: Azam FC 5 - 0 KMC | Ligi Kuu ya NBC | Azam Complex | 07/12/2023

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
NBC Premier League leo Alhamis

Saa 3:00 Usiku AzamFC watakuwa Azam Complex wakiwaalika KMC

Kocha Abdi Moallin wa KMC anarudi kwa waajiri wake wa zamani

Je, atwaadhibu ama mambo kuwa magumu?


1701973100793.png
---
1701973177278.png

Kikosi cha Azam kilichoanza


1701973257166.png

Kikosi cha KMC kilichoanza
 
Kipindi cha kwanza hawa jamaa tulifikiri wangeweza kusawazisha
 
Mpira Umeisha.
Azam wanaongoza ligi sasa
 
Mode, FT
Azam 5 - 0 KMC.

Na zile 5 za Uto walipigiwa hapa hapa
 
Feisali anaongoza sasa.
Kuwa na Magoli mengi.
Amefikisha goli 8.
 
Je tunaweza kusema kwamba Azam FC ni NBC Premier League title contenders msimu huu?! Na je huu ndo msimu bora zadi kwa Azam FC kulinganisha na misimu iliyopita?!
 
PSX_20231207_230213.png

Msimamo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara
 
Azam team kubwa,
Tupige na JKT Tanzania sasa
 
Back
Top Bottom